Pages

Wednesday, 17 August 2016

ZIONE PICHA ZA HARUSI YA MASANJA

August 14, 2016  mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji aliweka historia ya maisha yake baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa la Mito ya Baraka Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za harusi yake.











No comments:

Post a Comment