Thursday, 29 January 2015
Monday, 5 January 2015
Siku 3 za miujiza DCT
Kanisa la Dar Calvary Temple limeandaa mkutano mkubwa wa siku tatu utakao ambatana na ishara na miujiza katika kanisa hilo lililopo Tabata shule jijini Dar es salaam.
Akizungumza katika ibada hapo jana mchungaji kiongozi wa kanisa Ron Swai ambaye ni Katibu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God(TAG)alisema wameandaa mkutano huo kwa lengo la kuwafikishia injili wakazi wote wa jiji hili la Dar es Salaamu ambapo mnenaji ni Mwinjilisti wa Kimataifa Johannes Amritzer toka Sweden.
Mchungaji Swai alisema watu wenye wagojwa na shida mbalimbali wajitokeze kupokea muujiza wao mwaka huu mpya 2015 ''kwa sasa maandalizi yamekamilika na mnenaji Johannes atawasili Dar es Salaam hivi karibuni kwaajili yakuitenda kazi ya Bwana''
Aidha mkutano huo utaanza Ijumaa tarehe 9 hadi 11mwezi huu mda ikiwa saa 4:30 hadi saa 12:00 Jioni na jumapili saa 7:00-3:00 asubuhi na saa 4:00-6:30 mchana.
Mchungaji alisema katika mkutano huo utakao fanyikia ndani ya kanisa utahusisha Sifa na Kuabudu ambapo praise and worship team wa DCT wataongoza ibaada ya sifa na kuabudu na upande wa waimbaji watakao kuwepo kuhudumu ni Ambwene Mwasongwe,Samuel Mtasha,Victor Aron,Paul Clement na Atosha Kisava.

Kanisa la Dar Calvary Temple limeandaa mkutano mkubwa wa siku tatu wa ishara na miujiza katika kanisa hilo lililopo Tabata shule jijini Dar es salaam.
Mchungaji Swai alisema watu wenye wagojwa na shida mbalimbali wajitokeze kupokea muujiza wao mwaka huu mpya 2015 ''kwa sasa maandalizi yamekamilika na mnenaji Johannes atawasili Dar es Salaam hivi karibuni kwaajili yakuitenda kazi ya Bwana''
Aidha mkutano huo utaanza Ijumaa tarehe 9 hadi 11mwezi huu mda ikiwa saa 4:30 hadi saa 12:00 Jioni na jumapili saa 7:00-3:00 asubuhi na saa 4:00-6:30 mchana.
Mchungaji alisema katika mkutano huo utakao fanyikia ndani ya kanisa utahusisha Sifa na Kuabudu ambapo praise and worship team wa DCT wataongoza ibaada ya sifa na kuabudu na upande wa waimbaji watakao kuwepo kuhudumu ni Ambwene Mwasongwe,Samuel Mtasha,Victor Aron,Paul Clement na Atosha Kisava.
Subscribe to:
Posts (Atom)