Pages

Sunday, 11 October 2015

PICHA 5 ZA AJABU

Kama vile katika Ziwa Victoria hapa nchini kwetu kuna miamba ya mawe makubwa; katikati ya maji kama yamepandiana kumbe hata sehemu nyingine za dunia kuna mawe yatofauti na yenye miondo yakipekee na mimea na miti ya maajabu.

No comments:

Post a Comment