Mgombea urais kupitia CCM Mh. John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwatumikia kwa bidii watanzania wote bila ubaguzi wa itikadi za vyama vya siasa,dini na ukabila zaidi katika yote kuendeleza kuhubiri na kudumisha amani ya nchi.
Magufuli amesema hayo katika mwendelezo wa kampeni zake alipokuwa mjini Dodoma katika uwanja wa Jamhuri.
No comments:
Post a Comment