Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wabunge hao waache kuzomea mala ya kwanza na ya pili baanda ya kuona wakiendelea kuzomea na kugoma kukaa chini wakakaida agizo , hali hiyo imemfanya Spika awaamuru watoke nje kwa hiari yao kabla nguvu ya dola haijatumika kuwatoa.
Friday, 20 November 2015
Updates:Wabunge wa Ukawa watolewa nje ya Bunge
Wabunge wanaounga umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA). wametolewa nje ya ukumbi wa bunge muda huu baada ya kugoma kutambua ujio wa Dr Shein bungeni na kuanza kuzomea huku wakisema Maalim Seif....Maalim Seif
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment