Hili ni madaraja nchini china ambalo limekuwa kivutio kikubwa ulimwenguni kwani ni kubwa na limejegwa katika bonde la mto na linajulikana kama SIDU RIVER BRIGE ambalo ni daraja kubwa katika orodha yamadaraja makubwaulimwenguni.
Hizi picha za anga zinaonyesha daraja ya Siduhe katika barabara kuu ya Shanghai-Chongqing mjini Yesanguan katika mkoa wa Hubei nchini China.Daraja hiyo imejengwa mita 90 juu na mita 560 kutoka chini ya bonde.
No comments:
Post a Comment