Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake
Chadema (Bawacha) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee alikosa
dhamana na kupelekwa rumande katika Gereza la Segerea.
Mdee pamoja na wenzake wanane, walifikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili
likiwamo la kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko
usio halali.
Mdee akitoka ndani ya Makakama na kusalimia raia
Halima Mdee (Mwenye suti nyeusi) na wafuasi wengine wa Chadema
wakisindikizwa kupanda gari la polisi baada ya kutokamilika kwa dhamana
yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Dar es salaam.
Mdee akiongea na wana habari akiwa ndani ya gari
No comments:
Post a Comment