Hotel ya kifahari chini ya maji imezinduliwa hivi karibuni inajulikana kama Mantal Resort ipo visiwani Pemba zanzibar nchini Tanzania.
Mantal Hotel imekuwa gumzo katika vyombo vya habari kwani ndio hotel yenye vyumba 16 ndani ya maji barani Africa.
Hii hotel vyumba vyake vipo chini ya maji na ukiwa chumbani kupitia dirishani unaweza kuwaona samaki wa kila aina wakipita wakiwa wanaogelea wala hawana madhara yeyote kwa mtu kwani ni sehemu salama kabisa.
Bei ya kulala kwa siku moja single ni $900 zaidi ya million moja ya kitanzania na double ni $1500 zaidi ya milion mbili pia za kitanzania na. Manta Resort imekuwa designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels kwa mujibu wa CNN.
HIZI NI PICHA ZA MANTA RESORT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment