Pages

Saturday 21 May 2016

PICHA ZA DARAJA KUBWA LILIPITA JUU YA MTO

Hili ni  madaraja nchini china  ambalo limekuwa kivutio kikubwa ulimwenguni kwani ni kubwa na limejegwa katika bonde la mto na linajulikana kama SIDU RIVER BRIGE ambalo ni daraja kubwa katika orodha ya madaraja makubwa ulimwenguni.




 Hizi picha za anga zinaonyesha daraja ya Siduhe katika barabara kuu ya Shanghai-Chongqing mjini Yesanguan katika mkoa wa Hubei nchini China.Daraja hiyo imejengwa mita 90 juu na mita 560 kutoka chini ya bonde.

































www.highestbridges.com