Pages

Wednesday, 23 September 2015

CCM WAKO TAYARI KUSHIRIKI MDAHARO WA WAGOMBEA URAIS

Chama cha Mapinduzi CCM kipo tayari kushiriki mdaharo wa kuwakutanisha wagombea wa nafasi ya urais wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo ilitolewa na mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM mh. January Makamba ambapo alisema vyama ya siasa vinatakiwa kufanya mambo mapya  yenye tija ambayo hayajawahi kufanyika ikiwemo mdahalo wa wagombea Urais.

No comments:

Post a Comment