Pages

Monday, 7 September 2015

James Mbatia atikisa Jimbo la Vunjo

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo Kwa tiketi ya NCCR Mageuzi na UKAWA mheshimiwa James Mbatia amepokelewa kwa kishindo alipokuwa akielekea katika Uzinduzi wa Kampeni Uwanja wa Michezo Chuo Cha Ualimu Marangu.


Katika msafara wake ambapo alikuwa ameongozana na mke wake Catherini Mbatia na mtoto wake Chelsea watu walikuwa wengi na wengine waliacha kazi kwa mda na kusimama barabarani huku wakimshangilia mgombea huyo






No comments:

Post a Comment