Mh.Edward Lowassa akiongea na wananchi katika mkutano
pichaa za watu wakiwa chini wamezimia huku wakipewa huduma ya kwanza.
Kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Tanga shughuli zote zinazofanyika katika mitaa ya barabara ya 4, 5,6,7, 8 zililazimika kusimama kwa muda baada ya maelfu ya wakazi wa jiji hilo waliojitokeza katika uwanja wa Tanagmano, hali iliyopelekea kuahiliaha mkutano na kushindwa kuendelea sababu ya watu kuzimia.
No comments:
Post a Comment